Rais Samia Suluhu Hassan ameweka historia kwa kuwa mwanamke ... kupigwa picha wakiwa pamoja tangu alipokuwa makamu wa rais Wana watoto wanne , ikiwemo mmoja ambaye kwa sasa ni mwanchama wa bunge ...
Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Tanzania na Jaji Ibrahim Juma katika Ikulu ya Jijini Dar es Salaam. Mama Samia ameapishwa katika hafla ndogo iliyofanyika katika Ikulu ya Magogoni na ...
Mwezi wa mapenzi umefika! Mauzo ya maua, chokoleti, mapambo na huduma za migahawa yanazidi kupanda huku wapenzi wakijiandaa ...
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, Mkutano wa 74 wa Mawaziri wa Afya wa Jumuiya ya Afya ya Nchi za Afrika Mashariki,Kati, na ...
Makamu huyo wa zamani wa rais, aliyechukua nafasi ya Rais John ... Katibu Mkuu wa CCM Emmanuel Nchimbi ameteuliwa kuwa mgombea mwenza wa Samia Suluhu Hassan. "Hatuna wagombea mbadala kwa mwaka ...
DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na kifo cha Rais Muasisi wa Taifa la Namibia, Dk Sam Nujoma kilichotokea jana usiku akiwa amelazwa hospitalini. Kupitia kurasa zake za mitandao ya ...
Tuzo ya Gates Goalkeeper imeasisiwa na Taasisi ya Bill and Mellinda Gate mwaka 2017 ikilenga kuchochea na kuonyesha juhudi za ...
Tuzo hiyo hutolewa kwa viongozi waliowezesha nchi zao kuharakisha maendeleo kuelekea kufikia malengo ya maendeleo endelevu.
RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la Mwaka 2023 na kuahidi kuwa serikali ...
BUNGE limempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Nishati Afrika (Mission 300) Mwaka 2025 kwamba, umeiletea sifa ya kipekee Tanzania na kutaja namna Watanzania walivyonufaika ...