Nafasi hiyo, mbali na anayeshika kuwa msaidizi wa Mwenyekiti upande wa Tanzania Bara, pia ina uzito wa kipekee uliowekwa na kanuni za Maadili na Uongozi za CCM, zinazomtambua kuwa ndiye Mwenyekiti wa ...
Pia alidai mpeleka maombi wao alipelekwa kwenye Gereza la Keko kinyume cha sheria, pia walidai kuwa mwenendo wa uendeshwaji kesi hiyo, Januari 10 na 13, 2025 ulikuwa na mazingira ya uzembe na ...
Mwenyeji wa mkutano huo Zimbabwe ilionyesha wasiwasi kwamba mzozo unaoendelea DRC unaweza kuwa na athari kwa nchi wanachama. Wanajeshi kadhaa kutoka Afrika Kusini, Malawi na Tanzania wameuawa ...
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Baraza linalochunguza vyombo vya habari nchini DRC (CSAC) linathibitisha tena wajibu kwa vyombo vya habari kujiepusha na utangazaji wa habari kuhusu vita ...
Maji na umeme vimeanza kurejea, ingawa mabaki ya vilipuzi visivyolipuliwa yanaendelea kuwa “kikwazo kikubwa kwa uhuru wa watu kutembea na kusafiri. Umoja wa Mataifa una ujumbe wa kulinda amani nchini ...
Maji katika maeneo ya ardhi oevu, huweza kuwa ya chumvi, maji baridi au mchanganyiko wa maji baridi na chumvi. Lakini umuhimu wake ni upi?
Amesisitiza kuwa "Serikali zinapokuwa na utashi wa kisiasa, zinaweza kusaidia kuokoa maisha na kuunga mkono uhuru wa Myanmar". Andrews amehimiza jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua madhubuti zaidi, ...
The World Bank has cancelled a $150 million project to boost tourism to Tanzania’s Ruaha National Park, following allegations of human rights abuses by park authorities. Under the Tanzanian ...
Freeman Mbowe, ambaye amekuwa Mwenyekiti wa chama hicho kwa kipindi cha miongo miwili, kupitia mtandao wake wa X zamani ukiitwa Twitter amempongeza mrithi wake na mkamu wake wa zamani Tundu Lissu ...
This virus has recently resurfaced in Tanzania, infecting nine people and claiming the lives of eight. World Health Organization (WHO) chief Tedros Adhanom Ghebreyesus has expressed concern over the ...
Vilevile anaiomba Mahakama itamke kuwa, mwenendo wote wa shauri hilo tangu siku ya kwanza mpaka ulipoishia umegubikwa na nia ovu, uzembe na upendeleo unaothiri haki ya uhuru wa mteja wao ... ya ...
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba (kushoto) na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emanuel Tutuba wakionyesha mfano wa noti mpya za Tanzania zitakazongia kwenye mzunguko kuanzia Februari mosi, ...