Wakazi sita wa Wilaya ya Same wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi wakikabiliwa na kesi ya uhujumu ...
CHAMA Cha Mapinduzi Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa kimemchangia Sh 1,553, 500 Katibu Mwenezi wa Bawacha Mkoa wa Njombe, ...
Vijana walioajiriwa kwa mkataba na Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) kupitia programu ya Jenga Kesho Iliyobora (BBT) wamepewa ...
Baada ya kesi ya mauaji ya mfanyabiashara na mchimba madini Mussa Hamis, inayowakabili maofisa saba wa Jeshi la Polisi mkoani ...
KATIKA kijij cha Jija wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu ambacho kipo pembezoni na kikipakana na wilaya za Magu na Kwimbaza mkoa wa Mwanza, ipo zahanati ndogo inayohudumiwa na Mganga mmoja pekee. Dk ...
MTWARA; SHAHIDI Ahobokile Mwandiga wa kitengo cha uchunguzi wa kisayansi wa Jeshi la Polisi katika kesi ya mauaji ...
SHEHE Mkuu wa Tanzania, Mufti Abbubakar Zubery amehimiza wananchi wajiepushe na uzushi kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka huu. Amewataka kutumia hekima na busara wanapopokea taarifa yoyote ili ...
Mhariri Mkuu wa jarida la The Atlantic, Jeffrey Goldberg, amesema jana kuwa alijumuishwa kimakosa katika mazungumzo ya siri ya serikali ya Marekani. Mazungumzo hayo yalijadili mipango ya siri ya ...
Watu katika kijiji cha kaskazini mwa Japani kinachojulikana kwa kudondoka theluji nyingi wamekamilisha ujenzi wa sanamu ya mtu wa theluji yenye urefu wa zaidi ya mita kumi. Kijiji cha Okura katika ...
Rais wa Marekani Donald Trump anasema "hajui lolote" kuhusu kufichuliwa kwa habari za siri kwa mwanahabari huyu. "Hii ni mara ya kwanza kuongea nami kuhusu hili," ameaambia wanahabari. Ili ...
Maafisa wa hali ya hewa wanaonya kuhusu hali ya dhoruba na mvua au theluji katika maeneo mengi kuanzia kaskazini hadi magharibi mwa Japani leo Jumatano. Mfumo unaojiunda wa mgandamizo mdogo wa ...
Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la linalowahudumia Watoto (UNICEF) imeonesha kuwa takriban watoto milioni mbili nchini Kenya wanakabiliwa na matatizo yanayotokana na utapiamlo. Mipango ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results