MTWARA; SHAHIDI Ahobokile Mwandiga wa kitengo cha uchunguzi wa kisayansi wa Jeshi la Polisi katika kesi ya mauaji ...
Baada ya kesi ya mauaji ya mfanyabiashara na mchimba madini Mussa Hamis, inayowakabili maofisa saba wa Jeshi la Polisi mkoani ...
anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na askari wa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) katika Kitongoji cha Kikwete, Kata ya Marumbo, Wilaya ya Kisarawe, Mkoa wa Pwani. Tukio hilo lilitokea Februari 28, ...
Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Victoria Mwanziva, ameendelea na ziara yake ya kata kwa kata ndani ya wilaya hiyo, akifanya ukaguzi wa miradi ya maendeleo na kusikiliza changamoto za wananchi kwa lengo la ...
Vijana walioajiriwa kwa mkataba na Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) kupitia programu ya Jenga Kesho Iliyobora (BBT) wamepewa ...
Majadiliano hayo yamewaleta pamoja viongozi wa kimataifa kujadili pengo la kidijitali kati ya jinsia, kwa kuzingatia hasa nchi za Kusini mwa Dunia. Majadiliano yameonyesha tofauti katika upatikanaji ...
Wadau wa michezo mkoa wa Lindi wameyasema hayo leo kwenye kikao cha Samia Brazuka Cup kilichoshirikisha viongozi wa michezo wa ngazi za wilaya na mkoa kilichoandaliwa na Brazuka Football Club.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres leo ameonya kuhusu athari kubwa zitakazotokana na kupunguzwa kwa ufadhili wa Marekani kwa programs za kibinadamu za Umoja wa Mataifa. Akizungumza na ...
Tangu wakati huo, wilaya za vijijini za Minembwe na Mikenge zimekuwa ... Twirwaneho, wanaosema wanatetea jamii ya Banyamulenge, Watutsi wa Kivu Kusini, walijionyesha mbele ya ukumbi ...
AKIWA mkoani Tanga katika ziara yake ya siku saba inayoendelea katika wilaya za mkoa huo, Rais Samia Suluhu Hassan alizungumzia ... ikiwamo kuongeza askari wa wanyamapori na kubuni mbinu za kufukuza ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results