Levira amesema waterAid katika kutekeleza mradi wa mfano Hanang' utatatua changamoto ya maji safi, vyoo bora na usafi wa mazingira na utanufaisha wakazi wengi wa vijiji 96 wa kata 33 za wilaya ya ...
Banduka ambaye ni mzaliwa wa Kijiji cha Mruma, Tarafa ya Ugweno, Wilaya ya Mwanga, Mkoa wa Kilimanjaro, amezikwa leo Jumatano ...
Mradi huo ukikamilika utawanufaisha wananchi wa kijiji cha Gwata (Kibaha), Mwetemo (Chalinze), Mkupuka (Kibiti) na Mbwara ...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Songea Mjini na Vijijini mkoani Ruvuma, kinatarajia kufanya maandamano yakifuatiwa na ...
Jumuiya hiyo ya BRICS inazijumuiya nchi za Brazil, Urusi, India, China na Afrika Kusini. Mapema mwaka 2024 Iran, Misri, Ethiopia na Umoja wa Falme za Kiarabu pia zilijiunga katika Jumuiya hiyo ...
Gavana Tutuba aliyasema hayo jana Jijini Dar es Salaam wakati wa kikao kazi kilichowakutanisha BoT, ZEEA, Airpay pamoja na wadau mbalimbali kutoka Taasisi za kibenki ikiwemo Benki ya Taifa ya Biashara ...
“TAKUKURU Mkoa wa Dodoma imeweka utaratibu wa kufuatilia taarifa za makusanyo ya POS kila Jumatatu ili kubaini mapato ambayo hayajapelekwa benki kwa wakati. Kupitia ufuatiliaji huu, tumefanikisha ...
SINGIDA: MKUU wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida Suleiman Mwenda na Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dk Fatma Mganga wamefanya ziara kukagua miradi mbalimbali ya ujenzi wa shule za msingi na sekondari.
MKP announced the news in a statement on Thursday. MKP confirmed that Mkhwebane’s appointment will fill the leadership void in the province. This decision follows a series of internal challenges ...
Music fans are in for an exciting start to the new year as Amapiano stars Scotts Maphuma and LeeMcKrazy have a new banger to release. Scotts Maphuma and LeeMcKrazy have new music on the way. Image: ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya duniani, WHO, linachunguza sampuli za watu wawili kati ya wanane waliofariki dunia mkoani Kagera nchini Tanzania kubaini iwapo wamekufa kwa ugonjwa wa homa ya ...
Kikanda pia kuna hatari kubwa ya kusambaa kutokana na mkoa wa Kagera kuwa eneo la mpito na harakati za mipakani n anchi za Rwanda, Uganda, Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC. Baadhi ya ...