Rais Magufuli amewaagiza Waziri wa Uchukuzi na Ujenzi wa Tanzania pamoja na Waziri wa Ujenzi na Usafirishaji wa Zanzibar kusitisha usajili wa meli mpya nchini humo 'mpaka itakapotangazwa vinginevyo'.
Serikali ya Zanzibar leo imetoa ripoti ya uchunguzi wa kuzama kwa meli ya MV Spice Islander hapo Septemba 10, 2011 eneo la Nungwi, Kaskazini mwa kisiwa cha Unguja. Aliyetoa ripoti hiyo kwa niaba ...