Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Tanganyika Masele (32), mkazi wa Kisangile, Kata ya Marui, Wilaya ya Kisarawe, kwa tuhuma za mauaji ya mke wake na mtoto wao. Kamanda wa Polisi Mkoa wa ...
Taasisi ya dini ya Kiislamu ya Al-Hikma Foundation imetangaza kuwalipia mahari vijana 200 kutoka nchi za Tanzania na Burundi ...
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amewapongeza wananchi wa kata hiyo kwa kujitolea nguvu zao kujenga kituo cha Afya huku akiwataka watoa huduma za afya kuwa na lugha nzuri kwa wagonjwa wanaofika ...
Changanya na pesa za mke wa Jamie Vardy, mrembo Rebekah, weka pamoja. Unaambiwa hivi, bado hawamfikii na wameachwa kwa mbali sana. Rebekah na Coleen wamekuwa kwenye vita kali sana ya kutambiana.
Amesema Hamis alikwenda vituo vya Polisi na kwa ndugu wa Naomi kutoa taarifa za kupotea kwa mke wake. "Alipokuwa katika hatua za kutoa taarifa Polisi, Hamis alipata nafasi ya kuhojiwa na polisi ambako ...
Zana mpya za AI na uwezo hutoa fursa nzuri kwa kampuni kwenda zaidi data iliyoundwa na uguse katika hifadhidata changamano na zisizo na muundo, na kufungua thamani kubwa zaidi kwa wateja. Kwa mfano, ...
Na hiyo ni nzuri kwa Ukraine." Pia alipendekeza kuwa mpango wa madini ulipendekezwa kwanza na Zelenskyy mwaka jana kama sehemu ya "mpango wake wa ushindi." Trump alitumia hafla ya Ikulu ya nchi ...
GlobalAir.com receives its data from NOAA, NWS, FAA and NACO, and Weather Underground. We strive to maintain current and accurate data. However, GlobalAir.com cannot guarantee the data received from ...
Aziz Ki akiwa na ndugu na wageni waalikwa walikwenda msikitini kufunga ndoa na baadaye kuelekea nyumbani kwa Hamisa kumchukua mke wake. Ndoa hiyo ilifungishwa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Saalam, ...
“Leo hii wapo wanaume wanaooa mke wa pili kwa kificho bila ya kuwepo kwa taarifa sahihi kwa wazazi au familia… hili halikubaliki, ndoa si siri,” alisema. Hoja ya dharura kuhusu masuala ya ukewenza ...
Hata wakati nimetumia toleo la kawaida lisilolipishwa la ChatGPT, kawaida hufanya kazi nzuri, ingawa hutegemea sana jargon na viunzi mara nyingi huwa virefu sana. DeepSeek, kwa upande mwingine, ...