![](/rp/kFAqShRrnkQMbH6NYLBYoJ3lq9s.png)
RAIS SAMIA AWAONGOZA WATANZANIA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MUUNGANO ...
Apr 26, 2024 · Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kushuka kwenye gari Maalum la Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Sherehe hizo zimefanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Aprili, 2024.
Rais Samia azindua vitabu kuhusu Muungano, agusia Baraza la …
Apr 24, 2024 · Samia Suluhu Hassan akiwapa vitabu vya Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais pamoja na Kitabu cha Safari za Picha ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 60 kwa Mama Hasna Kawawa (kulia) na Mama Fatuma Jumbe kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 24 Aprili, 2024.
ya waasisi wa Muungano na viongozi waliofuata, kusimamia misingi na malengo ya kuasisiwa kwake. Sababu nyingine ni udugu wa kihistoria, uwepo wa lugha ya Kiswahili na wananchi kuukubali Muungano huu kuwa ni wao. Kwa hiyo, ni Muungano wa kisiasa uliojengwa kwenye misingi ya historia ya kijamii.
RAIS SAMIA AZINDUA KITABU CHA HISTORIA YA MIAKA 60 YA OFISI YA …
Apr 24, 2024 · Samia Suluhu Hassan akiwa ameshika Kitabu cha Safari za Picha ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 60 mara baada ya kukizindua kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 24 Aprili, 2024.
Rais Samia atunuku nishani viongozi katika shamrashamra za miaka 60 ya …
Apr 24, 2024 · Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya Kuwatunuku Nishani Viongozi mbalimbali wakati wa shamrashamra za miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 24 Aprili, 2024.
Rais Samia atoa Nishani za Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ...
Apr 24, 2024 · Samia Suluhu Hassan akimtunuku na kumvalisha Nishani ya Mwenge wa Uhuru Daraja la Pili Makamu Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mohamed Gharib Bilal kwenye hafla iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 24 Aprili, 2024.
Picha: Matukio mbalimbali Rais Samia ashiriki Maadhamisho ya miaka 60 ...
Aug 23, 2024 · Matukio mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga Zoezi la Medani katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Pongwe Msungura, Msata mkoani Pwani tarehe 23 Agosti, 2024
Picha: Rais Samia awatunuku nishani Viongozi mbalimbali Ikulu …
Ni April 24, 2024 ambapo Rais Samia Suluhu Hassan leo amewatunuku nishani viongozi mbalimbali katika shamrashamra za miaka 60 ya Muungano wa Tanzania Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
Samia Suluhu Hassan | Nawatakia nyote kheri tunapoadhimisha Miaka 60 ya …
Apr 26, 2024 · Nawatakia nyote kheri tunapoadhimisha Miaka 60 ya Muungano wetu. Hii ni tunu yetu sote, matokeo ya kazi ya kila Mtanzania kuanzia waasisi wetu mpaka sasa. Tumejenga nyumba imara ya Tanzania katika misingi ya utu, udugu na uanamajumui wa Afrika hatua kwa hatua, chini ya kila awamu ya uongozi.
PMO | Habari
Apr 9, 2024 · Waziri Mkuu amesema kuwa tarehe 26 Aprili, 2024, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ataliongoza Taifa katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Muungano yatakayofanyika katika Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam.
- Some results have been removed